Added: Nov 23, 2008
From: standardgroupkenya
Duration: 1:42
Waziri mkuu Raila Odinga kwa mara nyingine tena amerejelea umuhimu wa kuachiliwa kwa washukiwa wa ghasia za baada ya uchaguzi. Raila ana maoni kuwa amani haitorejea iwapo polisi ambao anashtumu wataendelea kushikilia washukiwa hao bila mashtaka yafaayo. Raila amedokeza kuwa ni kupitia tume ya Waki ambapo maswala kama hayo ya baada ya uchaguzi yanafaa yajadiliwe.
Channel: News
Tags: amani ambao ambapo amedokeza amerejelea ana anashtumu baada bila ghasia haitorejea hao hayo iwapo kama kuachiliwa kupitia kushikilia kuwa kwa maoni mara mashtaka maswala mkuu ni nyingine odinga polisi raila tena tume uchaguzi uchaguzi. umuhimu wa waki washukiwa wataendelea waziri ya yafaayo. yajadiliwe. yanafaa za
Rating: ( ratings) Views: 3453 Comments: 2
LetusbFree Says:
Nov 23, 2008 - He's doing a good job
Kenyansoul Says:
Nov 23, 2008 - We have a retard for a Prime Minister